Psalms 22:24

24 aKwa maana hakupuuza wala kudharau
mateso ya aliyeonewa;
hakumficha uso wake
bali alisikiliza kilio chake ili amsaidie.
Copyright information for SwhNEN